Raisi wa FANUS Prof.Joyce Kinabo,akizungumza na waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusiana na mkutano wa tatu wa shirikisho la vyama vya wataalamu wa masuala ya chakula na lishe Afrika,unaotarajiwa kufanyika Mei 24 hadi 29 jijini Arusha kushoto ni Dkt Joyceline Maganda Kaimu Mkurungenzi Mtendaji ,Taasisi ya Chakula na Lishe.Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO Jiji Dar es Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa Habari walio hudhuria katika mkutano wa tatu wa shirikisho la vyama vya wataalamu wa masuala ya chakula na lishe Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO leo Jiji Dar es Salaam . Picha na Emmanuel Massaka
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...