Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Seif S.Rshid(Mb), akishiriki mkutano ambao ulijadili juu ya mapambano dhidi ya magonjwa Kama UKIMWI,Malaria na TB.walijadili jinsi ya kuimarisha huduma za kuwafikia wananchi Wengi zaidi kwa kutumia rasilimali zilizopo. Washiriki wengine wanaoonekana katika picha hii ni katibu mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.Donnan Mmbando(kulia kwa waziri), Mkurugenzi mtendaji wa mfumo wa Dunia wa kupambana na UKIMWI, Malaria na Kifua Kikuu. Dkt.Mark Dybul Pamoja na balozi Deborah mwakilishi maaalum wa masuala ya Afya duniani na mratibu wa masuala ya UKIMWI kutoka Marekani.
Home
Unlabelled
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt.Seif S.Rshid akishiriki mkutano wa mapambano dhidi ya UKIMWI,Malaria na TB Marekani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...