Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Sameer Hirji akimuonyesha mashine ya POS ya Selcom Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu. Mashine hizo zitatumika katika ulipaji wa kodi za majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Sameer Hirji akielezea kwa waandishi wa habari jinsi huduma ya ulipaji kodi kwa njia ya Simu na akaunti za Benki inavyofanya kazi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Sameer Hirji akimuonyesha risiti za malipo ya pango za nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa malipo kwa njia ya mtandao wa Selcom.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2015

    Selcom mko juu sana. Job well done. Mmeonesha weredi wa hali ya juu na pia huduma zenu hazina mfano wake. Actions speaks louder than words. Great Job Sameer and Selcom Team!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...