Baadhi ya watayarishaji wa chakula wakiwaandaa samaki aina ya migebuka tayari kwa ajili ya kuwauzia wateja wao katika tamasha la Migebuka (Migebuka Festival) lililofanyika mjini Kigoma.
 Samaki aina ya migebuka wakianikwa tayari kwa ajili ya kuchomwa .
 Maandalizi yakiendelea
 Mr.Eliud mmoja wa wapishi maarufu wa mjini Kigoma akiandaa migebuka ya kuchoma kwa ajili ya wateja wake. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...