Baadhi ya  wakazi wa Kata ya Nyakanazi  Wilaya ya Biharamulo  mkoani Kagera  wakiwa kwenye mkutano wa  kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na Fistula inayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kwa kupitia taasisi yake ya Vodacom Foundation  imezinduliwa mwishoni mwa wiki na itafanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wakina mama kujitokeza ili wakatibiwe maradhi hayo kwani yanatibika. Inakadiriwa kwa mwaka wastani ya wanawake 2,500-3,000 hupatwa na maradhi hayo  wanapojifungua
 Wakazi wa kata ya Nyakazanazi  Wilaya ya Biharamulo  mkoani Kagera  wakifuatilia  elimu iliyokuwa ikitolewa na wataalam kutoka hospitali ya CCBRT na balozi wa Fistula hapa nchini Mrisho Mpoto(hawapo pichani) kuhusiana na maradhi ya Fistula yanayowapata wanawake hapa nchini wanapojifungua. Elimu hiyo ilitolewa wakati wa Kampeni inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kupitia taasisi yake ya Vodacom Foundation  iliyozinduliwa mwishoni mwa wiki na itafanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wakina mama kujitokeza ili wakatibiwe maradhi hayo kwani yanatibika. Inakadiriwa kwa mwaka wastani ya wanawake 2,500-3,000 hupatwa na maradhi hayo  wanapojifungua.

 Doricas George( 26) Mkazi wa Kata ya Nyakanazi Wilaya ya Biharamulo  mkoani Kagera  (kushoto)akijibu maswali mbalimbali kuhusiana na maradhi ya Fistula aliyokuwa akiulizwa na Balozi wa maradhi hayo Mrisho Mpoto(kulia)alipokuwa akitoa elimu kuhusiana na maradhi hayo inayoendelea kutolewa katika mikoa mitatu nchini ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kusisitiza wakina mama kujitokeza ili wakapatiwe matibabu katika hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na taasisi ya Vodacom Foundation kutokomeza janga hilo.Katikati ni  Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon.

 Wakinamama wakazi wa  kata ya Nyakanazi Wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera wakimsikiliza kwa makini Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon alipokuwa akiwafafanulia jambo kuhusiana na elimu ya maradhi ya Fistula wakati wa Kampeni ya kutokomeza maradhi hayo hayo inayoendelea kutolewa katika mikoa mitatu nchini ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kusisitiza wakina mama kujitokeza ili wakapatiwe matibabu katika hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na taasisi ya Vodacom Foundation kutokomeza janga hilo. Inakadiriwa kwa mwaka wastani ya wanawake 2,500-3,000 hupatwa na maradhi hayo  wanapojifungua.
Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon akitoa elimu kwa wakazi wa kata ya Nyakanazi Wilaya ya Biharamulo Mkoa wa Kagera,kuhusiana na maradhi ya Fistula wakati wa mwendelezo wa Kampeni ya kutokomeza maradhi hayo inayoendelea kutolewa katika mikoa mitatu nchini ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kusisitiza wakina mama kujitokeza ili wakapatiwe matibabu katika hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na taasisi ya Vodacom Foundation kutokomeza janga hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...