Wasanii wawili wanaotamba Bongo hivi sasa Shilole na Nuh Mziwanda wametua leo nchini Ubelgiji tayari kwa show yao ya nguvu siku ya Jumamosi nchini Ubelgiji.Wakiwa na nyuso za furaha hotelini walipofikia wameahidi kufanya bonge la show kwa pamoja.Wameomba wapenzi wao wajitokeze kwa wingi kuja kushuhudia burudani ya uhakika toka Bongo.
Nuh Mziwanda kushoto akiwa na Shilole a.k.a Shishi Baby wakiwa tayari kuwapagawisha wapenzi wao jumamosi hii hapo Antwerpen. Picha na Maganga One Blog
Home
Unlabelled
SHILOLE NA NUH MZIWANDA WATUA UBELGIJI TAYARI KWA SHOW YA JUMAMOSI 9.5.2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
nchi za watu mdogo wangu, usiegeshe mguu wako kwenye ukuta. angalia hali ya huo ukuta ilivyo. unaweza kulitilia maanani hili au kulipuuza.
ReplyDeleteasante.
Acha kukanyaga ukuta kijana si ustaarabu
ReplyDeleteCCTV kila kona, kama ameuchafua basi watamletea bili ya kusafisha huo ukuta, basi hapo ndo atapagawa na kutapatapa.
ReplyDeleteHata Michael jackson mwenyewe sijui kama angefanya hivyo ulivyofanya,hivi ni vitu basic kabisa unaweza kupoteza deal kwa sababu ya mambo ya kipuuuzi kama haya watu wanaojiwa wanatafuna big G unaongeleshwa unajifanya bussy na simu....tafadhari jaman
ReplyDeletewapeni watu/vijana orientation kabla hawajasafiri.Orientation husaidia sana sana.
ReplyDelete