Mkuu wa taasisi ya Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto)
akishirikiana na wasimamizi wa mradi wa kompyuta mashuleni Meelis
Kuuskler (katikati) pamoja na Julius Giabe kuunganisha
kifaa cha kujifunzia masomo kupitia kompyuta katika shule ya
sekondari Kinyerezi ya Tabata jijini Dar es Salaam. Mradi huo
unaendeshwa na Learning In Sync chini ya Vodacom Foundation.
Msimamizi
wa mradi wa kompyuta mashuleni, Meelis Kuuskler
(katikati)akiwafafanulia jambo Mkuu wa taasisi ya Vodacom Foundation,
Renatus Rwehikiza (kushoto) na Julius Giabe kuhusu
kifaa cha kujifunzia masomo kupitia kompyuta kilichokuwa
kinaunganishwa katika shule ya sekondari Kinyerezi ya Tabata jijini Dar
es Salaam. Mradi huo unaendeshwa na Learning In Sync chini ya Vodacom
Foundation.
Msimamizi wa mradi wa kompyuta mashuleni, Meelis Kuuskler akiunganisha
kifaa maalum cha kuchajia kompyuta katika shule ya sekondari Kinyerezi
ya Tabata jijini Dar es Salaam. Mradi huo
unaendeshwa na Learning In Sync chini ya Vodacom Foundation
utakabidhiwa hivi punde.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...