Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2015

    huu ni wizi wa wazi kabisa, siku hizi life expactancy imeshuka sana uwezekano wa kufika miaka 60 ni mdogo sana, na sector binafsi ndo kabisaaaa hufika....asa kwanini mnikate hela zote hizooo? au mnataka tufe mzipigee? sawa tuu lakini si mmeamua nyie

    ReplyDelete
  2. hii ni sheria kandamizi kwa mfanyakazi na mchangiaji, inamnang'anya jasho lake bila sababu za msingi. kama asilimia ya wanaostaafu kabla ya muda ni ndogo kwanini iwekwe hii sheria basi?
    iwapo SSRA wanataka kupitisha hii sheria, basi wapitishe nyingine ya kuondoa kuchangia mifuko kuwa jambo la lazima, hapo tutazielewa sheria za kuhalalihsa uporaji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...