Dates: May 9 –
10, 2015 (Saturday & Sunday)
Location: 591 N.
Main Street Alpharetta GA 30009
Fees: $70 Money
Order (Passport Fees & FedEx return)
Service
Cost: $30/person.
All Tanzanians living GA,
AL, SC, NC, TN, FL & nearby states are welcome.
For more information and requirements visit: http://tanzaniaembassy-us.org/?page_id=79
RSVP to
guarantee spot: http://bit.ly/1JMQ5q1
hahahahahaha zamani watu wa USA walikua wakituna eti nna mkoba wa kinyamwezi...hahahaha leo hii mnatangaziwa renewal ya adamu na hawa ndani ya unyamwezini na kuna wengine nahisi wanajuta usawa huu.
ReplyDeletehatujuti kaka au dada kwa sababu kama una muda wa kuchezea basi kubaliana na utaratibu huu wa kuongeza muda pasi yako ya Tanzania halafu subiri utakaa kama mwaka mmoja unasubiri mpya,ukipiga simu kuulizia hawapokei wanakuwekea wimbo wa kihindi kama si wa kimasai usikilize kwanza kwa saa moja na kitu hivi kwa kweli shida za urasimu wana safiri nazo waungwana hawa wa ubalozini sehemu zote utakazo kwenda nje hali ni moja.
ReplyDeletemdau.
Alaska,USA.
Je, wa-Tanzania wanaoishi majimbo mengine wafanyeje? Hilo ni suali moja.
ReplyDeleteSuali la pili: Ubalozi umetafakari gharama ya watu kusafiri hadi Washington DC, wakati wengine wana familia? Hiyo gharama wataiweza? Kwa nini afisa wa ubalozi asiende sehemu mbali mbali kutoa huduma?