Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge, Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki (kushoto) na Murtaza Mangungu wa Kilwa Kaskazini kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Kei 12, 2015. Wapili kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Florens Turuka na Kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Jumanne Sajini.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Florens Turuka kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Picha na PMO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...