Athari ya mvua hasa kwa miundombinu jijini Dar es salaam ni kubwa. Hii ni sehemu ya barabara ya Mbezi Chini ikiwa imekatika kufuatia mvua kubwa ilionyesha siku nzima ya jana.
Uchafu mkubwa uliokuwa umeziba daraja la mto mbezi chini ukiondolewa baada ya maji ya mto huo yaliyokuwa yakitiririka kwa kazi,kuziba kwa daraja hilo ilipelekea maji ya mto huo kupita juu ya daraja na kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa eneo hilo na sehemu nyingine.
Pichani ni hali halisi ya maji kutuama mbele ya soko la Mboga mboga na Matunda eneo la Afrika Sana, Sinza, kufuatia mitaro ya eneo hilo kuzibwa na uchafu.PICHA NA MICHUZI JR.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Tatizo Dar ni chafu sana kila sehemu ni jalala, mvua ikinyesha matekeo yake ni hayo,watu wanaishi kama wanyama.
ReplyDelete