
Meneja
Matukio wa TBL mkoa wa Dar es salaam, Zozimick Kimati (kushoto)
akikabidhi sehemu ya jezi kwa Bw. Hamis Mwango, zilizotumiwa na timu
mbali mbali zilizoshiriki kwenye Bonanza la Michezo lililodhaminiwa na TBL, ikiwa ni sehemu ya kuendeleza michezo nchini.
Meneja Matukio wa TBL mkoa wa Dar es salaam, Zozimick Kimati (kati)
akizungumza jambo na uongozi wa Timu ya Mshikamano Veterans kabla ya
kuingia uwanjani kukipiga na timu ya Uhuru veterans.
Kikosi
cha Makabe Veterans wakiwa kwenye picha ya pamoja tayari kwa mtanange
wa Bonanza la michezo lililodhaminiwa na TBL, ikiwa ni sehemu ya
kuendeleza michezo nchini.
Kikosi cha Mshikamano Veterans kikiwa kwenye picha ya pamoja tayari kwa
mtanange wa Bonanza la michezo lililodhaminiwa na TBL, ikiwa ni sehemu
ya kuendeleza michezo nchini.
Kikosi cha Uhuru Veterans.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...