Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Mh.Norman Sigala King aliyesimama akiongea na Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma akifungua mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana (hawapo pichani) ya kujikomboa kiuchumi yanayotolewa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,wa kwanza kutoka kushoto ni KaimuMkurugenzi.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria Bi. Ester Riwa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo aliyesimama akitoa mada ya ujasiriamali kwa Vijana wa Halmashauri Songea wakati Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ilipofanya ziara ya mafunzoa ya kujikomboa kiuchumi Mkoani Ruvuma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...