Mtama ukiwa umestawi vizuri katika moja ya shamba, hivi leo Kampuni ya mawasiliano ya Vodafone imezindua mpango maalumu wa kuboresha maisha ya wakulima wadogo wa Kilimo Klub utakaoanza kutekelezwa Tanzania.Nchi zingine zitakazotekeza mpango huu ni Kenya,Ghana na India mpango wa Vodafone Farmers Club unalenga kuboresha maisha ya wakulima wadogo wenye kujishughulisha na kilimo ili kuwaongezea uzalishaji kupitia kisaidizi maalumu ambacho ni simu za mkononi.
Zabibu zikiwa zimestawi vizuri katika moja ya shamba Dodoma vijijini kufuatia kilimo bora na cha kisasa,kilimo hichi kinaongezewa nguvu na kampuni ya Vodafone ambapo leo imezindua mpango maalumu wa kuboresha maisha ya wakulima wadogo kama hawa wa Kilimo Klub utakaoanza kutekelezwa Tanzania.Nchi zingine zitakazotekeleza mpango huu ni Kenya,Ghana na India mpango wa Vodafone Kilimo Klub unalenga kuboresha maisha ya wakulima wadogo kwa kuwaongezea uzalishaji kupitia kisaidizi maalumu ambacho ni simu za mkononi.
Mfanyabiashara wa soko la Mgandini Tanga,Hamis Mtote, akipanga mihogo aina ya Kibandameno ambayo inatoka katika shamba la mfano lililoko Tarafa ya Maramba Wilayani Mkinga ambapo Kampuni ya mawasiliano ya Vodafone leo imezindua mpango maalumu wa kuboresha maisha ya wakulima wadogo wa Kilimo Klub utakaoanza kutekelezwa Tanzania. Nchi zingine zitakazotekeleza mpango huu ni Kenya,Ghana na India mpango wa Vodafone Kilimo Klub unalenga kuboresha maisha ya wakulima wadogo kwa kuwaongezea uzalishaji kupitia kisaidizi maalumu ambacho ni simu za mkononi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...