Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI na Madawa ya Kulevya iliyopo ziarani nchini Zimbabwe hivi karibuni ilipata fursa ya kutembelea Ubalozi wa Tanzania jijini Harare na kusaini kitabu cha maombolezo ya aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Marehemu Brig. Jenerali Hashim Mbita aliefariki Dunia mwananzoni mwa wiki hii.  
Pichani ni Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI na Masuala ya Madawa ya Kulevya Mhe. Dkt Faustine Ndugulile (juu) na Mhe. Neema Mgaya Himid (picha ya chini) wakisaini kitabu cha maombolezo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...