Msanii wa muziki wa Bongo Flavor Diamond Platinumz(wa pili kutoka kushoto) na balozi wa Mziiki ambayo ni program ya simu za mkononi (mobile app) ya Vodacom Tanzania akiwaonyesha program hiyo waandishi wa habari(hawamo pichani) wakati wa uzinduzi wake uliozinduliwa wakati wa Zari white party iliyofanyika mlimani city jijini Dar es Salaam jana.App hiyo inawaletea wateja burudani ya muziki kiganjani.Wengine katika picha ni Maofisa Mawasiliano wa kampuni hiyo,Abigail Ambweni(wa kwanza kushoto) na Glory Mtui.
Ofisa Mawasiliano na Matukio wa Vodacom Tanzania, Abigail Ambweni(kulia)akihojiwa na mtangazaji wa clouds TV wakati wa uzinduzi wa program ya Mziiki ambayo ni program ya simu za mkononi (mobile app) ya Vodacom Tanzani.Uzinduzi huo ulifanyika wakati wa Zari white party iliyofanyika mlimani city jijini Dar es Salaam jana.App hiyo inawaletea wateja burudani ya muziki kiganjani.
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa(katikati)akimsikiliza jambo Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz(kulia)na balozi wa Mziiki ambayo ni program ya simu za mkononi(mobile app)ya Vodacom Tanzania iliyozinduliwa jana wakati wa Zari white party iliyofanyika mlimani city jijini Dar es Salaam jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...