Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wakati alipofungua kongamano la 12 la Lions Club kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Me 9, 2015.
Baadhi ya washiriki wa kongamano la 12 la Lions Club wakimsikiliza Wairi Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua kongamano hilo kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam Mei 9, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongea na viongozi wa Lions Club baada ya kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na viongozi wa Lions Club baada ya kufungua kongamano lao la 12 kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...