Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2015

    Tunahitaji utekelezaji wa miradi hii uanze,hizi plan tumeshazisikia sana..

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2015

    Mdau wa kwanza, Kwanza ulikuwa "unasikiliza", sasa ume ona video.. Mradi itaendelea vizuri tu chini ya uongozi bora wa Dk Magufuli. CCM oye!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2015

    Kwa maana ingine pesa za mradi wa mabasi yaendayo kasi zimeliwa?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2015

    nchi za wenzetu majirani wanatenda sisi kazi ya kuonyeshana plan tuuu,tunashindwa hata na Ethiopia ,nchi ambayo miaka yote sifa zake ni nchi yenye njaa kuliko zote Afrika,leo hii wana train za umeme mitaani kwao.shame on you viongozi kwa kutokuwa wazalendo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 21, 2015

    Sawa. Hapo magari yatakuwa yanateleza tu lakini yatakwenda kulundikana makutano ya Buguruni, Sokota na Changombe.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2015

    wa Tz hongera kufika hapa na hili 1 la kuanzia, haya yako kama 10 hivi mjini Nairobi, Njoroge, Kenya

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 21, 2015

    Mungu nipe uhai wa kutosha nione hizo flyover za Tazara na Ubungo

    ReplyDelete
  8. Naungana na maoni ya mdau wa pili hapo juu, kwani hata ule mradi wa mabasi yaendayo kasi, kwanza walituanzia kwa kutuonyesha 'demo' zake tu na hatimae kitu kamili kimefanyika na ndio kimo mbioni kukamilika. Tusiwe wenye papara ya kutaka kila kitu kifanyike papo kwa hapo, haiwi 'jino', basi chanzo chake ni ufizi na taratibu likakamilika na kukitia sura kinywa kizima. Na hata mji wa Roma haukujengwa kwa siku moja. Tutafikia tu malengo In Sha Allah.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 22, 2015

    Hizi ni heka heka za uchaguzi tu....ni mwaka wa 5 sasa toka tusikie hizi habari za flyover.......leo wanatuletea michoro wakati wenzetu kenya wanatekeleza miradi then wanaongea baadae...we want results sio mipango na maneno mengi...........

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 22, 2015

    ndoto za mchana, mradi wa mabasi ya kasi umeishia wapi??? Hatuna viongozi ambao wapo serious kila kitu mchezo mchezo. Michora hii tunaiona tu kila siku hakuna kitu kinachoendelea.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 22, 2015

    Hilo flyover moja imezungumziwa kwa karibu miaka 10 sasa hadi leo hatuoni kinachoendelea, wenzetu Kenya hawazungumzi sana...kwao vitendo ndivyo vinaongea zaidi kuliko maneno. Kweli tunayo safari ndefu kama tunaendelea na style hii tuluyoizoea.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...