Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kwa hiyo hayo majimbo yaliyojengwa na DART barabarani yataondolewa? Pale ubungo lipo moja na sikuliona hapo. Ujenzi wa aina hiyo inaonekana hapo ndio ulitakiwa tangu mapema. Siyo kujenga mabarabara ya hovyo kwa gharama kubwa halafu mnakuja kubomoa tena.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2015

    DART project imechukua zaidi ya miaka 3, hii itakamilika in 15 years. Poor planning as always, hatuangalii long terms. Je over weight lorries watadhibitiwa vipi? Au watajenga mzani Mwenge?

    ReplyDelete
  3. Kwa plan hizo itabidi pia ukaguzi na upasishaji wa vyombo vya barabarani uwe katika kiwango cha hali ya juu mithili ya baadhi ya nchi za wenzetu wafanyavyo, sio tu almuradi mtu ana gari linatembea huku likihanikiza emission mwanzo wa safari hadi mwisho na kuchangia uharibifu wa mazingira. Pia kuwe na emmergence breakdown cover endapo mtu ataharibikiwa ghafla barabarani, viwango maalum vya kuwatahini madereva watarajiwa na adhabu kali kwa madereva watakaokiuka sheria na taratibu husika za barabarani ikibidi hata kufungiwa/kupokonywa leseni zao na kuanza upya hatua kwa hatua kwa kufuata taratibu na kupata leseni mpya. Nadhani vitu kama hivyo vitasaidia sana kuwepo kwa umakini na pia usalama barabarani na kutokomeza ajali za mara kwa mara zinazosababishwa na sheria duni na uzembe wa madereva.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2015

    Saaaafiii sana! Wachuuzi wa barabarani natumai hawataruhusiwa kuleta bughudha hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...