Wadau wa Benki Kuu wakiwa na furaha baada ya kushinda tuzo kibao katika siku ya mwisho ya Maonesho ya Wiki ya Utumishi katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni wafanyakazi katika banda hilo
Wadau wa Benki Kuu na tuzo zao na vyeti
Wadau wakijidai na makombe yao makubwa
Tuzo ya Taasisi inayoendeshwa vyema
Tuzo ya Banda Bora katika maonesho hayo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...