Msanii maarufu wa ngoma za utamaduni Mfalme Siboma akiwa katika banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa alilotembelea katika siku ya mwisho ya Maonesho ya Wiki ya Utumishi katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni wafanyakazi katika banda hilo
 Wadau wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wakijidai na vyeti vyao vya ushiriki katika siku ya mwisho ya Maonesho ya Wiki ya Utumishi katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni wafanyakazi katika banda hilo
 Wadau wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakiwa na kombe lao la ushindi wa kwanza wa uwezeshaji wanawake katika siku ya mwisho ya Maonesho ya Wiki ya Utumishi katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni wafanyakazi katika banda hilo
 Madaktari wakikutana na wananchi mbalimbali waliotembelea banda la Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa katika siku ya mwisho ya Maonesho ya Wiki ya Utumishi katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni wafanyakazi katika banda hilo
Wad au wa NHIF wakifurahia ushindi katika siku ya mwisho ya Maonesho ya Wiki ya Utumishi katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni wafanyakazi katika banda hilo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...