Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania tawi la Iringa wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Meya wa manispaa hiyo Bw. Amani Mwamwindi (wa pili kulia) wakati wafanyakazi hao walipojitokeza kufanya usafi kwenye soko kuu la manispaa ya Iringa mwishoni mwa juma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mazingira duniani. Hatua hiyo ni sehemu ya kampeni ya benki hiyo ijulikanayo kama ‘Go Green Initiative’ iliyojikita zaidi kwenye utunzaji wa mazingira.
 Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania tawi la Iringa wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Meya wa manispaa hiyo Bw. Amani Mwamwindi (wa pili kulia) wakati wafanyakazi hao walipojitokeza kufanya usafi kwenye soko kuu la manispaa ya Iringa mwishoni mwa juma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mazingira duniani. Hatua hiyo ni sehemu ya kampeni ya benki hiyo ijulikanayo kama ‘Go Green Initiative’ iliyojikita zaidi kwenye utunzaji wa mazingira
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania tawi la Iringa wakifanya usafi wa mazingira kwenye soko kuu la manispaa hiyo mwishoni mwa juma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mazingira duniani. Hatua hiyo ni sehemu ya kampeni ya benki hiyo ijulikanayo kama ‘Go Green Initiative’ iliyojikita zaidi kwenye utunzaji wa mazingira.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...