Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania Bi. Ilakiza Hezwa (kulia) akichangia damu sambamba na wafanyakazi wenzie waliojitokeza makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu duniani .Kushoto ni Ofisa wa Mpango wa taifa wa damu salama (NBTS) Bw. Peter Chami.
Mkuu wa kitengo Uendeshaji na teknolojia Bw. Hamza Mohamed (kulia) akipima shinikizo la damu kabla ya kuungana na wafanyakazi wenzie wa benki hiyo waliojitokeza makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma kuchangia damu ikiwa ni maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu duniani . Kushoto Afisa kutoka Mpango wa Taifa wa damu salama (NBTS), Peter Chami.
Mfanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya Ultimate Security Group, Bw. Kakili Juma (kulia) akichangia damu sambamba na wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania waliojitokeza makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma kuchangia damu ikiwa ni maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu duniani . Kushoto Afisa kutoka Mpango wa Taifa wa damu salama (NBTS), Peter Chami.
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania (kulia) akipima shinikizo la damu kabla ya kuungana na wafanyakazi wenzie waliojitokeza makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma kuchangia damu ikiwa ni maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu duniani
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...