Kwa mara nyingine tena Yule msanii machachari ambaye anainukia kwa kasi katika muziki wa bongofleva Boniface( a.k.a handsome boy a.k.a asali ya Morogoro a.k.a bon-to-face) kwa mara nyingine tena ameachia wimbo na video yake mpya iitwayo “Nikitaka”.
Audio ya wimbo huo umefanyika katika studio za Authentic Record jijini Dar es salaam chini ya Producer mwenye kiwango za hali ya juu Mr. Allan Mapigo,
Video ya wimbo huu imefanywa kampuni mpya kabisa shine studioz, ni moja ya kazi safi kabisa chini ya Director matata kabisa Ivan.
Boniface ni miongoni mwa wasanii wenye sauti nzuri na kujituma kwenye muziki, takribani ameshatoa nyimbo kadhaa siku za nyuma ambazo zimefanya vizuri sana nje ya nchi,
Aidha, kwa sasa Boniface ameweka wazi kuwa hana meneja au msimamizi wa shughuli zake za muziki, kwahiyo milango ipo wazi kwa yeyote ambaye yupo tayari kufanya nae kazi za muziki kwa ujumla.
Wimbo : Nikitaka
Msanii : Boniface (Bon-To-Face)
Studio : Authentic Records
Producer : Allan Mapigo
Mawasiliano::
Simu : +255 716 542640
Facebook : bonyface.mateza@yahoo.com
Instagram ; bon-2-faceBONIFACE - NIKITAKA (Offial Video music)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...