CHANNEL 10.
SIMUtv: Hatimaye serikali ya Tanzania imekubali mapendekezo ya kuwaingiza mabaharia katika utafiti kwenye sekta ya mafuta na gesi. https://www.youtube.com/watch? v=MwReNguQ3G4
SIMUtv: Kiongozi wa ACT Zitto Kabwe amewashauri Wakazi wa mikoa ya kusini Kuwashauri Wabunge wao kuhusu Mswaada wa Gesi kutojadiliwa. https://youtu.be/2fQQbAGvuts
SIMUtv: CHADEMA Maendeleo CHADEMA kimetoa rai kwa Mwanachama yeyote kuchukuliwa hatua endapo atabainika kukigawa chama hicho. https://youtu.be/XiTciGXx8jg
SIMUtv: Kiongozi Mkuu wa NCCR Mageuzi Mhe. James Mbatia akanusha uvumi juu ya chama hicho kujitoa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA. https://youtu.be/9I-neurG_xQ
SIMUtv: Wamiliki wa Vyombo vya habari wamekusanyika kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa habari Edson Kamukara aliyekuwa akifanya kazi katika vyombo vya Mwanahalisi. https://youtu.be/bbKDpjI55rI
SIMUtv: Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa amejizolea wadhamini zaidi ya laki 2 katika Jiji la Dar es salaam na kukanusha uvumi wa kuwa ananunua wadhamini. https://youtu.be/VXLxVM-eM3E
SIMUtv: Rais Jakaya Kikwete ameliambia Jeshi la Magereza kuwafunza wahalifu waliopo magerezani ili watoke wakiwa na nidhamu njema pamoja na stadi za maisha. https://youtu.be/DwzfYW6F0wY
AZAM TV.
SIMUtv: Harakati za kusaka Urais zimeendelea kuzua gumzo kutokana na kila mmoja kuwa na sera za kipekee ndani ya chama kimoja. https://youtu.be/KF2e2QqHdZM
SIMUtv: Hatimaye Mwalimu Antony Khalfani Chalamila amejitokeza mjini Dodoma na kuchukua fomu ya kuwania urais na kufikisha idadi ya watangaza nia 41. https://youtu.be/wmXa9h0G0P4
SIMUtv: Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia amewaasa UKAWA kuwa umoja huo si CHADEMA bali ni nguvu ya pamoja ya kupigania haki na katiba mpya. https://youtu.be/OA_1ADJ66GY
SIMUtv: Hali ya wasiwasi imetanda Mkoani Morogoro baada ya magaidi kuvamia na kumuua mkulima kwa kumkata na majambia. https://youtu.be/yaC1mYxy3CE
TBC.
TBC: Hii ndiyo kauli ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kufuatia Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka nje kususia kikao hapo jana. https://youtu.be/H3cCx7PzRYw
TBC: Rais Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Magereza kuwafunza wahalifu waliopo magerezani ili watoke wakiwa na nidhamu njema pamoja na stadi za maisha. https://youtu.be/QjYYUnqB0DI
TBC: RAIS Jakay Kikwete aongoza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita marehemu Kelvin Max . https://youtu.be/QjYYUnqB0DI
TBC: Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani akiongozana na Amina Salum Leo wamerudisha fomu za kuwania urais Mjini Dodoma. https://youtu.be/b8mPfOHGlRY
STAR TV
Katibu mkuu wa Maliasili na utalii Dk. Adelhem Meru atoa rai katika kuendeleza sekta ya utall ili Taifa liweze kunufaika na rasilimali zilizopo kusaidia kukuza uchumi wa nchi. https://youtu.be/pMH8iJa_yt0
Kilimo cha mpunga kimewanufaisha wakulima zaidi ya 1,200 mkoani Tabora kufuatia kuboreshwa kwa miundombinu ya skimu ya umwagiliaji Dudumo. https://youtu.be/gD11tIvC-KA
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia vijana 6 kati ya 50 wanaosadikiwa kuwa ni magaidi waliokutwa na silaha za moto. https://youtu.be/FHBzpaZlxW8
Mwenyekiti wa CHADEMA avitaka vyombo vya habari kuwawekea bima ya maisha Waandishi wa habari wakati akiuaga mwili wa Mwandishi wa habari jijini Dar es salaam. https://youtu.be/zSHwiJBLk4Q
Watu 3 wamefariki Dunia na wengine kujeruhiwa kutokana na ajali iliyohusisha magari mawili ya mizigo kugongana Nje kidogo ya Dar es salaam. https://youtu.be/RHYHwdYVqpQ
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...