Chef Issa ameanzisha group la Whatsapp kwa ajili ya Tanzanian chef's popote duniani ambalo anasema kama wewe ni Chef unaweza jiunga kwa kutuma request mobile No. +46709297384
Lengo likiwa ni kukutana, kufahamiana, na kusaidiana kitaaluma. Ma-Chef wote wa Kitanzania mnakaribishwa.
Huu mtandao wa wanataaluma unaweza kusaidia kubadilishana mawazo, kujifunza kutokana na uzoefu wa wanataaluma, na kujua fursa zilizopo katika taaluma yao.
ReplyDelete