Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bi. Regina Kikuli
(wa pili kutoka kushoto) akimsikiliza kwa makini Mratibu wa Shughuli za Maafa Ofisi
ya Waziri Mkuu Bw. Edger Senga akielezea juu ya sera ya uratibu wa Menejimenti
ya maafa alipowatembelea wakati wa maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma tarehe
21 Juni, 2015.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bi. Regina Kikuli
akipitia kitabu cha Mkakati wa Mawasiliano wakati wa Maafa alipotembelea Idara
ya Uratibu wa Maafa wakati wa maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Juni 21,
2015 kulia ni Mratibu wa Shughuli za Maafa Bw. Edger Senga. (Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...