Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson Mandela(NM-AIST),Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu wa Chuo cha Kikuu cha East China Normal University(ECNU)Profesa Sun Zhenrong wakisaini makubaliano ya vyuo hivyo viwili kushirikiana katika nyanja za utafiti,mafunzo na kifedha leo mkoani Arusha.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson Mandela(NM-AIST)kilichopo ,Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu wa Chuo cha Kikuu cha East China Normal University(ECNU)Profesa Sun Zhenrong wakibadilishana na hati za makubaliano hayo leo mkoani Arusha.
Viongozi wa Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chuo Kikuu cha East China Normal University.
Taarifa hii ni njema na imenikumbusha mbali. Niliwahi kuzuru hiki chuo maarufu, East China Normal University kwa wiki moja kutoa mihadhara kama nilivyoripoti hapa.
ReplyDelete