Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mh. William Lukuvi (MB), Bungeni
Dodoma leo Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka
wa fedha 2015/16.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mh. William Lukuvi (MB)
akibadirishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bwn.
Nehemiah Mchechu, baada ya kuwasilisha Bungeni bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyimba
na Maendeleo ya Makazi leo Dodoma.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mh. William Lukuvi (MB) akitenda
jambo na Watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Mkuregenzi Mkuu wa Shirika
hilo Bwn. Nehemiah Mchechu (kulia) na Meneja wa Shirika hilo Mkoa wa Dodoma, Bwn.
Itandula Gambalagi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...