Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein na ujumbe waliofuatana katika ziara ya kikazi Mjini Berlin wakiwa wamesimama wakiimbiwa wimbo maalum na Wanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam walipotembelea Skuli hiyo ambayo inaushirikiano na Skuli ya Mwanakwerekwe ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na ujumbe wake wakiwaangalia wanafunzi wa Skuli ya Bruno H-Burgel Schule ya Postdam wakati walipokuwa wakijibu masuala wakiwa katika moja ya madarasa skulini hapo wakiwa katika ziara Mjini Berlin nchini Ujerumani.
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Dr.Christoph Hauser Naibu Mkurugenzi Mkuu Idara ya Ushikiano wa Kimataifa wa Sayansi walipokuwa wakiangalia kukumbu mbali mbali walipotembelea Makumbusho ya Mjini Berlin Nchini Ujerumani wakiwa katika ziara ya kikazi.
Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Idara ya Sayansi katika Historia halisia Mjini Berlin Nchini Ujerumani wakati walipotembelea makumbusho katika Mji huo wakiwa katika ziara ya kikazi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Naomba niwajulishe ndugu zangu makumbusho hayo yaliyotembelewa na Dk Shein ni "Museum für Naturkunde" [Natural History Museum, Berlin] kinachohifadhi na kuonyesha dinosaur [dinosau] aina ya Giraffatitan [iliyojulikana zamani kama Brachiosaurus). Dinosau hiki kiligunduliwa wakati wa utawala ya kikoloni cha Ujerumani eneo la Tendaguru karibu na Lindi.

    http://www.naturkundemuseum-berlin.de/en/ausstellungen/the-world-of-dinosaurs/

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...