Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Musoma.
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Kagera.
Zoezi la udhamini katika wilaya ya Magu likiendelea huku Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli akifatilia kwa makini.
Huyu akipata anaonekana kama atahamasisha barabara kuu zote zilizobaki zijengwe.
ReplyDeleteWAKIKUPITISHA BABA MPENDWA, NAAMINI NCHI HII ITAKUWA ULAYA, ILA NAJUA WATAKUBANIA, ILA WEWE NAKUKUBALI SANA JEMBE, KURA YANGU NTAKUPA.
ReplyDelete