Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini
waliojitokeza kumdhamini katika mbio za
kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa
CCM Wilayani Moshi mjini Mkoani
Kilimanjaro.
Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CCM Mkoani
Kilimanjaro waliojitokeza kwa wingi kwa ajili ya kumdhamini.
Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akisaini kitabu cha wageni huku Katibu wa CCM
wilaya ya Moshi mjini akihakiki kadi za wanachama kwa ajili ya udhamini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...