Kitambi
ni ile hali
ya tumbo kuwa kubwa
na kuchomoza kwa
mbele na wakati mwingine kufikia
hatua ya kunin’ginia.
JINSI
KITAMBI KINAVYO PATIKANA
Kwa
mujibu wa tafiti
mbalimbali za kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati ya bilioni 50
hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika sehemu
mbalimbali za mwili wa binadamu.
Kwa wanawake
seli hizo zipo sana katika maeneo
ya matiti, kwenye nyonga, kiunoni na
kwenye makalio.
Kwa upande wa wanaume
seli hizo zinapatikana sana kwenye kifua, tumboni na kwenye makalio
pia.
Mafuta ya tumbo yanayofanya kitambi
hukusanywa kwa njia kuu mbili:
i.
Njia
ya kwanza ni mafuta kutoka kwenye tishu
zilizo chini ya ngozi
ii.
Na
njia
ya pili ni kutoka kwenye ogani za ndani kama moyo, kongosho n.k
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...