Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa(UN)Alvaro Rodriguez ambaye alikua
mgeni rasmi katika Kongamano la upatikanaji wa fedha za ndani za
maendeleo akitoa hotuba yake kwa washiriki kutoka Halmashauri za wilaya
nchini lililofanyika leo jijini Arusha.

Mkurugenzi wa Huduma(Tamisemi)Denis Bandisa akizungumza wakati
Kongamano ambalo pamoja na mambo mengine alizitaka halmashauri nchini
kubuni vyanzo vya ndani vya mapato badala ya kutegemea wafadhili.
Mkurugenzi wa Huduma(Tamisemi)Denis Bandisa akizungumza wakati
Kongamano ambalo pamoja na mambo mengine alizitaka halmashauri nchini
kubuni vyanzo vya ndani vya mapato badala ya kutegemea wafadhili.
Washiriki kutoka maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi wakifatilia kwa makini mada katika Kongamano hilo.
Washiriki kutoka maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi wakiwa
katika picha ya pamoja, Kongamano hilo limefanyika katika hoteli ya
Mount Meru jijini Arusha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...