Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi akijadiliana jambo na Alhaji Aliko Dangote
kuhusu ujenzi wa Gati katika Bandari ya Mtwara.Katikati ni Waziri wa
Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa Mh Hawa Ghasia.
Waziri wa Serikali za mitaa na tawala za mikoa Mh Hawa Ghasia (MB) akiwa
na viongozi wa serikali na wa mkoa wa Mtwara katika kumpokea Bilionea
Alhaji Aliko Dangote ambaye amekuja katika mazungumzo kuhusu
kushirikiana na Serikali katika ujenzi wa Gati lakupakilia Cement
ilikuwezesha kusafirisha katika mikoa ya Tanzania na Africa Mashariki
Alhaji
Aliko Dangote akisalimiana na Mkuu wa masoko kampuni ya TANCOAL Bwana
Emamanuel Constantinides ambaye alifikaka katika mazungumzo ya
kibiashara na Alhaj Aliko Dangote katikati ni Mkuu wa Biashara wa
TANCOAL Bwana Nisheet Devani wote wlikuwa na mazungumzo kuhusu biashara.
Picha ya Pamoja
Picha na Chris Mfinanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...