Home
Unlabelled
HII NDIO SABABU YA LOWASSA KUWANIA URAIS WA TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi namfananisha Mheshimiwa Lowassa na Waziri Mkuu wa sasa wa India Bwana Narendra Modi.
ReplyDeleteBwana Modi alitukanwa na kukashifiwa na wanachama wenzake na wapinzani kwa sababu ya vurugu zilizotokea mji wa Gujarat wakati akiwa mkuu wa mji huo. Lakini alikaa kimya na hakujibu tuhuma hizo na wananchi wa India walimpa kura zao kwa sababu ya vision yake kwa ajili ya nchi ya India.
I see LOWASSA WAVE will sweep this country na wananchi wa Tanzania kwenye safari hii ya matumaini wataona maendeleo ya uhakika!!!
Sometimes unashindwa uegame wapi, maana kila mmoja yupo katika kuwamba ngoma hii ya uchaguzi na ni lazima tu kila mmoja atavutia upande wake. Binafsi nadhani 'Commitment' ndio ina package zote, rather than hard working. Tulitafakari hilo katika kuchaguwa.
ReplyDelete