Home
Unlabelled
HIVI HIKI KIBAO KINAMAANISHA NINI VILE????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ni pambo tuu, tz kwani kuna sheria kweli??
ReplyDeletehairuhusiwi kuvua
ReplyDeleteHIYO ALAMA INAMAANISHA "NO U-TURN" USIGEUKE NYUMA NA SIO KAMA UNAVYOFIKIRI KUWA HIYO ALAMA INAMAANISHA USIGEUKE KULIA HAPANA.
ReplyDeleteMaendeleo ni watu. Barabara ilitakiwa kujengwa kukidhi matakwa na kuwawezesha watu. Hii Barabara hapa haina sehemu ya kuchepukia kulia kwa umbali mrefu sana zaidi ya hapa, which is useless! Barabara iwatumikie watu, sio kinyume chake..Otherwise tutaendelea kupuuzia alama hii na kuendelea na maisha.
ReplyDeleteNo U turn at this point.
ReplyDeleteIlitakiwa waruhusu kufanya U-turn anyway! maana sehemu kama mbezi beach Makonde, watu wanaotokea NSSF Road kuingia kwenye barabara kuu ya kuelekea bagamoyo wanapata shida sana. Taasisi husika either iruhusu U-turn au wajenge ramps!
ReplyDeletekinamaanisha huwezi kuishi bila kupindisha sheria
ReplyDeletesUBIRI WAZEE WA FEVA WAKUFUMANIE
ReplyDeleteLabda huyu dreva ametoka mtaa wa pili kushoto!
ReplyDeletehivo vibao sijui vina maana gani coz kwenye barabara ya mwenge tegeta unakuta vipo ktk kila uturn pande zote,vikimaanisha hakuna anayeruhusiwa kugeuza,Sasa uturn ni nini au ya nani?
ReplyDeleteHiki kibao kipo sahihi kabisa kinazuia kurudi utokako kwa upande wa pili. Hapa mahali napafahamu hiyo gari ipo sahihi kwani inatokea upande wa Kanisa Katoliki Tegeta na siyo inakunja uturn.
ReplyDelete