Kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka 2015,Khatib Chumu
akimkabidhi kadi ya CHF Amina Mohamed kwenye viwanja vya Mkwakwani
ambazo walikabidhi wakina mama waliolipiwa na Naibu Waziri wa Sheria
na Katiba ,Ummy Mwalimu (hayupo pichani). nyuma yake ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya Mkoa wa Tanga(NHIF) Ally Mwakababu.
Kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka 2015,Khatib
Chumu akimkabidhi kadi ya CHF Saumu Kombo mkazi wa Ngamiani jijini
Tanga kwenye viwanja vya Mkwakwani kadi hizo ambazo walikabidhi wakina
mama waliolipiwa na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba ,Ummy Mwalimu
nyuma yake ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa
Tanga(NHIF) Ally Mwakababu.
Kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka 2015,Khatib Chumu
akimkabidhi kadi ya CHF Aziza Sheria ambazo walikabidhiwa wakina mama
waliolipiwa na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba ,Ummy Mwalimu (hayupo pichani). nyuma
yake ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoa wa Tanga, Ally Mwakababu.
wakina mama wakiwa na kadi zao za CHF mara baada ya
kukabidhiwa na kiongozi wa mbio za Mwenge 2015 Khatibu Chumu ambazo
walikabidhi wakina mama waliolipiwa na Naibu Waziri wa Sheria na
Katiba ,Ummy Mwalimu (hayupo pichani). nyuma yao ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya Mkoa wa Tanga (NHIF), Ally Mwakababu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...