Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani.
Watoto wa marehemu wakiwa na huzuni mara baada ya mwili kuwasili nyumbani.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Baadhi
ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Jaji mstaafu, Antony Bahati
nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mazishi ya jaji Bahati
yanafanyika leo Juni 2 katika makaburi ya Kinondoni. (Picha na Francis
Dande)
Baadhi ya waombolezaji.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...