Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), akimuelekeza jambo Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani (kushoto), akizungumza na John Chale kuhusu kazi mbalimbali zinazpfanywa na MSD baada ya kutembelea banda la MSD katika maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja mwishoni mwa wiki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...