Umati wa wakazi wa kata ya Nguruka Wilaya ya Uvinza Kigoma
wakiwa kwenye mkutano wa kampeni ya
kutoa elimu kuhusiana na maradhi ya
Fistula yanayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa
na Hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kupitia taasisi yake
ya Vodacom Foundation inaendelea
kufanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wakina baba kuwaruhusu wakina mama
wajitokeze ili wakatibiwe maradhi hayo
kwani yanatibika. Inakadiriwa ni wastani
ya wanawake 3,000 hupatwa na maradhi hayo
wanapojifungua.
Wakazi
wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wakimsikiliza kwa makini Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom
Tanzania,Grace Lyon (wapili kutoka kushoto ) alipokuwa akiwafafanulia jambo
wakina baba hao kuhusiana na kampeni inayoendelea katika mikoa mitatu nchini ya
kuelimisha wakina baba na wanchi kwa
ujumla kuwaruhusu wakina mama wajitokeze
ili wakatibiwe maradhi fistula kwani yanatibika,Inakadiriwa ni wastani ya wanawake 3,000 hupatwa na maradhi
hayo wanapojifungua.Kampeni hiyo
inaendeshwa na CCBRT na Vodacom Foundation.
Meneja Mawasiliano wa
Hospitali ya CCBRT Abdul Kajumul , akiwaelezea wakazi wa kata ya Nguruka Wilaya ya Uvinza Kigoma waliofika kwenye mkutano na kupatiwa
elimu kuhusiana na kampeni inayoendelea katika mikoa mitatu nchini ya
kuelimisha wakina baba na wanchi kwa
ujumla kuwaruhusu wakina mama wajitokeze
ili wakatibiwe maradhi ya fistula bure katika hospitali ya CCBRT kwani
yanatibika,Inakadiriwa ni wastani ya
wanawake 3,000 hupatwa na maradhi hayo
wanapojifungua.Kampeni hiyo inaendeshwa na CCBRT na Vodacom Foundation.
Msanii wa nyimbo za kiasili na Balozi wa maradhi ya Fistula
Mrisho Mpoto akitoa elimu kwa wakazi wa Kata ya Nguruka wilaya ya Uvinza
Kigoma,Kuhusiana na kampeni inayoendelea katika mikoa mitatu nchini ya
kuelimisha wakina baba na wanchi kwa
ujumla kuwaruhusu wakina mama wajitokeze
ili wakatibiwe maradhi ya fistula bure katika hospitali ya CCBRT kwani
yanatibika,Inakadiriwa ni wastani ya
wanawake 3,000 hupatwa na maradhi hayo
wanapojifungua.Kampeni hiyo inaendeshwa na CCBRT na Vodacom Foundation.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...