Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue (mwenye tisheti) akiangalia Tuzo iliyopata Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyoshinda katika utoaji wa huduma za ukaguzi kwa nchi zinazotumia Kiarabu,Kingereza na Kifaransa (Afroasae) alipopita katika banda la CAG katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo kushoto ni CAG,Profesa Juma Assad .
Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akisaini Kitabu cha wageni katika banda la CAG katika maonesho ya Wiki ya Utumishi katika Viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi ,Balozi Ombeni Sefue (mwenyetisheti)
akiwa kwenye picha ya pamoja kushoto ni CAG, Profesa Juma Assad katika maoenesho ya Wiki ya Utumishi Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini
Dar es Salaam leo.
Jina sahihi la mkaguzi mkuu ni Mussa Assad na sio Juma kama ulivyo andika sehemu nyingi humo.
ReplyDelete