Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali,Profesa Mussa Assad akisaini katika kitabu cha wageni katika banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA) katika viwanja wa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo anayeshuhudia ni Meneja wa Mawasiliano TFDA,Gaudensia Simwanza.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA).Hitt Sirro akimpa maelezo katibu Mkuu Kiongozi ,Balozi Ombeni Sefue (mwenye Kofia) katika Manonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Jijini Dar es Salaam nyuma ya Katibu Mkuu Kiongozi ni Meneja wa Mawasiliano,Gaudensia Simwaza.
Katibu Mkuu Kiongozi ,Balozi Ombeni Sefue (Mwenyekofia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA).Hitt Sirro katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja ,jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue( katikati )akiwa
katika picha ya pamoja na watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula la Dawa
(TFDA) (Picha na Emmanuel Massaka)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...