Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na Msafara wake wakiingia kwenye kivuko cha Mv Misungwi katika feri ya Busisi mara baada ya kumaliza ziara yake wilaya ya Sengerema mapema leo asubuhi kuelekea wilaya ya Misungwi tayari kwa kuendelea na ziara yake ndani ya jiji la Mwanza
 Mbunge wa Jimbo la Sengerema,Mh.William Ngeleja (wa pili kulia) kwa pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana wakitazama kivuko cha Mv Sengerema iliyokuwa ikielekea katika feri ya Kigongo walipokuwa ndani ya Mv Misungwi,wakielekea wilaya ya Misungwi kuendelea na ziara ndani ya jiji la Mwanza
 Mbunge wa Jimbo la Sengerema,Mh.William Ngeleja (wa pili kulia) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana walipokuwa ndani ya kivuko cha Mv Misungwi,wakitokea wilaya ya Sengerema kuelekea wilaya ya Misungwi kuendelea na ziara ndani ya jiji la Mwanza
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akimuonesha Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mh.William Ngeleja, kivuko cha Mv Sengerema wakati kilipokuwa kinapishana na kivuko cha Mv.Misungwi mapema leo asubuhi,shoto ni Katibu wa CCM Mkoa  Bwa.Miraj Mtaturu.Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wapo jijini Mwanza kwa ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na Uhai wa Chama ikiwemo pia kusikiliza matatizo ya wananchi a kuyatafutia ufumbuzi

PICHA NA MICHUZI JR-MISUNGWI,MWANZA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...