Sasa ni miaka miwili tangu mama
yetu kipenzi ulipoitikia sauti ya Mungu hapo tarehe 07.06.2012.
Sisi kama familia tunatoa
shukrani za pekee kwa Mungu kwa jinsi alivyoweza kutulinda na kutupa Faraja ya
pekee katika kipindi chote cha majonzi na hadi sasa tunatimiza miaka mitatu
bila kuwa nawe.
Tunakukumbuka sana mama japo kimwili haupo nasi, pengo lako
daima haliwezi kuzibika. Tunakukumbuka kwa upendo wako, ushauri wako kama mama
na mke. Kipekee unakumbukwa sana na mume wako mpendwa ACP Kedmond Mnubi, watoto
wako Catherine, Restituta, mama ako mpendwa, ndugu, jamaa na marafiki.
Dua ya kumuombea marehemu
itafanyika nyumbani kwake Msamala, Songea tarehe 07.06.2015
INNALILAHI WAINA ILLAIHI RAJIUUN.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...