Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Maghufuli alipokuwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)  Makutopora kwa mujibu wa sheria

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2015

    Rekebisha rekodi zako.mwaka 1983,Magufuli alikuwa mwalimu Sengerema secondary school.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2015

    ..Mbona sijaona popote palipoandikwa mwaka juu ya hiyo picha? Huyu anayeongelea mwaka 1983 katoa wapi yarabi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2015

    Initial version iliandikwa kuwa Hiyo ni picha ya Magufuli akiwa JKT mwaka 1983.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...