Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkomo maelfu ya wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Tanga, waliojitokeza kwa wingi kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, Mkoa wa Tanga leo Juni 17, 2015. zaidi ya WanaCCM 204,125 wamemdhamini Mh. Lowassa, ili aweze kuteuliwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akitoa shukrani kwa WanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Tanga, walijitokeza kwa wingi kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, Mkoa wa Tanga leo Juni 17, 2015, ambapo zaidi ya WanaCCM 24,125 wamemdhamini Mh. Lowassa, ili aweze kuteuliwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za ziada yenye majina ya WanaCCM waliomdhamini ili aweze kuteuliwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. anaekabidhi fomu hizo ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Tanga, Mathew Mganga akikabidhi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...