Waziri Mkuu wa zamani Mhe.  Edward Lowassaakiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mpinduzi(CCM) na wananchi baada ya kupokea majina ya wanachama zaidi ya 5,000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu leo.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM)wakicheza baada ya Waziri Mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa, baada ya kukabidhiwa majina ya wanachama wa chama hicho zaidi ya 5,000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...