![]() | ||||
Mbunge Joshua Nassar akiwa na mkewe Anande Nnko wakati wa sherehe ya kimila iliyoandaliwa na wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kufanikiwa kumaliza mgogoro wa maji uliokuwepo katika baadhi ya vijiji.
|
Home
Unlabelled
NASSAR AANDALIWA SHEREHE JIMBONI KWAKE, NI BAADA YA KUTATUA MGOGORO WA MAJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Dogo Janja anatisha...hakuna wa kumkamata jimboni hapo. Njia nyeupe kurudi mjengoni.
ReplyDeleteHamasisha maendeleo jimboni ili watu wafaidike na viongozi wanaotaka kuwakwamua kwenye kero
ReplyDelete