Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, (wapili kushoto), akiwa na Askofu  wa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, mkoani Kagera, Severine Niwemuguzi baada ya kuzindua jiwe la msingi kuashiria maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50, Seminari ya Mtakatifu Karoli Lwanga Katote Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, Jumamosi Juni 6, 2015
Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa, akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, Severine Niwemuguzi, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege Biharamulo Mkoani Kagera kwa ajili ya kusherekea Miaka 50 ya Seminari ya Katote.
Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa, akiwasha kompyuta baada y kuzindua chumba cha mafunzo ya Kompyuta katikaKuadhimisha Jubilei ya Miaka 50 Seminari ya Mtakatifu Karoli Lwanga Katote Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara mkoani Kagera Jumamosi Juni 6, 2015. Kushoto ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, Severine Niwemuguzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...